MATANGAZO
LEO JUMAPILI TAREHE 26 APRLI, 2017, NI JUMAPILI YA 3 YA PASAKA- MWAKA A
MATANGAZO
YA PAROKIA
Ø Kutokana na tahadhari ya maambukizi ya VIRUSI vya
CORONA, waamini tunaalikwa kuendelea kufuata maelekezo yaliyokwisha tolewa na
mababa. Viongozi wa Vigango simamieni Jambo hili.
Ø Wahasibu wa vigango mnaombwa kuwasilisha Tsh.
40,000/= toka katika kila Jumuiya kwa ajili ya kuhudumia nyumba ya wazee
(Bugando) na walelewa (kawekamo). Fedha hizi ziwasilishwe kwa mhasibu wa
Parokia mwisho ni mwezi huu April.
Ø Wale wote walioshiriki kusali Novena ya Huruma ya
Mungu wataendelea na sala ya kuomba Huruma ya Mungu kila Ijumaa saa kumi jioni,
wanaomba wale wanaotaka kujiunga nao katika sala wafike kuchukua ratiba ya sala
ili kila mtu aweze kusali nyumbani
kwake. Sala ina patikana kwa mama Koku.
MATANGAZO YA NDOA
TANGAZO LA TATU
Ø Wazere
bin Wanani Wazere na Magori Buhoro wa NHC anatarajia kufunga ndoa na Grace
Wambura binti Masanja Lilanga na Mwisi Wambura wa NHC.
No comments:
Post a Comment